Jinsi ya kujisajili Betway: Mwongozo wa usajili hatua kaw hatua

Makala hii inahusu kujisajili kwenye kampuni ya kubashiri ya Betway Tanzania. Makala itakuelezea jinsi mteja mpya anavyoweza kutengeneza  akaunti ya kubashiri na kujisajili Betway. 

Pia itakuelekeza namna ya kuweka fedha na kutoa fedha kwa kutumia njia mbalimbali za malipo zinazopatikana kwenye jukwaa lao.

Jinsi ya kujisajili ya Betway

Betway Tanzania inawekwa miongoni mwa kampuni za kuaminika za uandaaji wa michezo ya kubashiri nchini. Hautafaidi kutokana na  kubashiri kwenye michezo ya mpira tu, bali utatunukiwa bonas nzuri pindi unapojiunga nao.

Hata hivyo, ili kufaidi yale yote ambayo kampuni inatoa, unapaswa kuandaa akaunti yako kwanza.  Mchakato wa usajili kwenye jukwaa la Betway utachukua dakika kadhaa. Zifuatazo ni hatua chache za kufuata kwa mbashiri mpya anayetaka kujiunga haraka na pasipo kutumia nguvu nyingi.

Jinsi ya kujisajili Betway ukiwa Tanzania

  1. Hatua ya kwanza ingia kwenye tovuti ya Betway kisha bonyeza kitufe cha “Sign Up”.

  2. Ingiza namba  sahihi ya simu yako na barua pepe yako.

  3. Kisha unda neno siri thabiti ambalo utakumbuka kirahisi.

  4. Weka jina lako la kwanza na jina la ukoo na tarehe yako ya kuzaliwa kama inavyosomeka kwenye kitambulisho chako, 

  5. Ingiza neno siri kisha jisajili Betway.

  6. Weka alama kwenye kibox kuthibitisha kuwa una miaka zaidi ya 18, kisha kubaliana na vigezo na mashariti.

  7. Hitimisha kwa kubonyeza kitufe cha “Registration”.

JINSI YA KUJISAJILI BETWAY

Kama unavyojua, wakati mwingine wachezaji wanaweza kuongeza code ya bonasi ya kujiunga na Betway wakati wa kujiandikisha kwenye akaunti zao. Hata hivyo, inashauriwa kwamba kuongeza tu code ya promo haitakupatia bonasi, kwani ni lazima ukidhi vigezo vyote muhimu vya kupata bonasi.

Kwa kuongezea, wakati wa kufungua akaunti yako mpya, hakikisha unaingiza maelezo halali ya taarifa zako binafsi na  mawasiliano yako. Hii ni muhimu kwani huchukuliwa kama sehemu ya taratibu muhimu za jinsi ya kujisajili betway Tanzania.

Jinsi ya Kujisajili Betway kwa njia ya Simu

Wachezaji  huvutiwa kujisajili kwenye jukwaa hili kwa sababu kampuni inaruhusu programu ya usajili kwa njia ya simu za android na iOS. Wachezaji wanaweza kusajili akaunti zao, kufanya malipo salama, na kuweka madau yao  kupitia app za simu zao.

Kwa kuongezea, unahitaji kwanza kuipakua app husika ili kujisajili. Mara baada ya kuidownload ifungue kisha fuata hatua zifuatazo hapa chini. 

  1. Kwanza, fungua app kisha bonyeza kitufe  “Signup”.
  2. Ingiza namba yako halali ya simu na barua pepe yako, kisha unda neno siri imara.
  3. Kisha ingiza jina lako la kwanza na la mwisho kama linavyoonekana kwenye kitambulisho chako.
  4. Ongeza code ya  bonasi ya kujiunga na Betway  kwenye profile yako husika ikiwa ipo.
  5. Weka alama kwenye kibkasha kuthibisha kuwa una miaka zaidi ya 18.
  6. Kukamilisha usajili bonyeza kitufe cha “registration”.

Unakumbushwa kwamba, kujaza taarifa zako binafsi ambazo ni sahihi ni jambo la msingi hasa katika kukamilisha mchakato wa usajili.

betway app

Jinsi ya kutoa fedha Betway Tanzania

Mchakato wa kutoa fedha ni sawa na ule wa kuweka ila utofauti  ni kwambakutoa inachukua muda mrefu kwa fedha zako kukufikia. Pia, mwongozaji hawezi kukuruhusu kutoa fedha zako kwa kutumia njia zote za malipo zilizopo. Haya ni moja ya mambo unayohitaji kuzingatia kabla ya kuwasilisha ombi lako la kutoa fedha.

Aidha, wachezaji kutoka Tanzania wanaweza kutoa fedha  kwa kutumia Huduma ya Selcom na Mobile Money. Pamoja na kutoa pesa kwa njia ya Simu kuwa chaguo linalotumika zaidi miongoni mwa wachezaji wa mchezo wa kubahatisha kwa Tanzania, tutakupa mwongozo wa kina wa kutoa fedha zako kwa njia hii hapa chini.

  1. Kwanza, ingia kwenye tovuti ya Betway na ubonyyeze kitufe cha “Login”.
  2. Kamilisha utaratibu wa kuingia kwa kuongeza namba yako ya simu na nenosiri ulilounda wakati wa usajili.
  3. Kisha nenda kwenye sehemu ya “My Account” na chagua “kutoa fedha”.
  4. Kisha chagua “fedha kwa njia ya rununu” kama njia yako ya kupokea malipo, kisha chagua kampuni kama ni M-pesa, Airte, vodacom au Tigopesa.
  5. Weka kiwango cha fedha unachotaka kutoa na ingiza namba ya simu ya kupokelea malipo. Mwisho bonyeza “Withdraw Now”.

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Betway Tanzania

Ikiwa una maswali zaidi juu ya uendeshaji wa kampuni ya Betway, pitia Maswali haya hapa chini, kwani tutajibu baadhi ya yale yanayoulizwa mara kwa mara kwenye jukwaa letu.

✅ Namna gani naweza kuthibitishwa kwenye Betway?

Kuthibitisha akaunti yako ya  Betway ni jambo la lazima  na ni la muhimu kwa sababu mwendeshaji hatakupatia fedha zako hadi utakapothibitisha akaunti yako.
Pia, mchakato wa uhakiki unahitaji taarifa za msingi za kuthibitisha ikiwemo kitambulisho chako pamoja na anuani yako ya sasa. Unaweza kufanya hilo Unaweza kufanya hivyo kwa kupakia nyaraka hizi kwenye profile yako .Ama  kuzituma kwa timu ya msaada wa huduma kwa wateja kupitia barua pepe [email protected].

📱 Nawezaje kujisajili  Betway kwa njia ya SMS?

Jinsi ya kujisajili Betway ni rahisi sana. Ili kukamilisha mchakato wa usajili kwa njia ya SMS ya Betway, ni lazima upokee taarifa ya kutoa idhini kwenye simu yako ya mkononi na kisha uingize PIN yako.

🪪 Je, Betway huomba kitambulisho wakati wa usajili?

Ndiyo. Wakati wa kufungua akaunti yako, ni lazima kuweka jina lako la kwanza na la mwisho kama yanavyoonekana kwenye kitambulisho chako. Utahitaji pia kutoa nyaraka zinazothibitisha utambulisho wako wakati wa mchakato wa uthibitishwaji wa akaunti.

💰 Kiwango cha chini cha kuwekeza Betway Tanzania ni shilingi ngapi?

Kiwango cha chini kwa mtandao wa Vodacom M-Pesa ni Tsh 100 na kwa chaguzi nyingine zote zinazopatikana TSH 1000.

18+ | Please play responsibly | Terms and Conditions apply | Commercial Content