Jinsi ya Kusajili 888bet: Hatua kwa Hatua ya Usajili kwa Wachezaji wa Tanzania

Mashabiki wa kamari za michezo Tanzania ambao wanataka kutumia kodi ya promosheni ya 888bet wanaweze kujifunza jinsi ya kujisajili 888bet tz kwa kufuata mwongozo huu. Jifunze jinsi ya kujiungakujisajili na 888bet tanzania, tazama chaguzi ya mechi ya awali na mechi zinazochezwa pamoja na michezo tofauti ya kamari kupitia mchezesha kamari huyu.

Je, usajili wa 888bet Unafanyaje Kazi?

Wateja wapya wanaweza kufanya usajili na 888bet ndani ya dakika chache.Njia ya usajili ni rahisi sana na wacheza michezo ya kubashiri wanaweza tembelea tovuti ya mchezeshaji michezo ya kubashiri kupitia simu ya mkononi au kompyuta ya mezani.

Kwahiyo, baada ya kujisajili na kutengeneza akaunti, mwenye akaunti ataweza kupata huduma zote ambazo zipo kwenye tovuti ya mchezeshaji michezo ya kubashiri huyu. Pia, baada ya kujisajili, mwenye akaunti anaweza kuweka hela, kutafuta fursa ya kuweka beti za michezo inayo chezwa, kushinda promosheni, kucheza michezo ya kamari, na mengine mengi.

Kwenye mwongozo huu, unaweza kupata maelekezo zaidi ya jinsi ya kujisajili 888bet na kukamilisha usahili huu;

 1. Tembelea tovuti rasmi ya 888bet

  Kabla ya kuanza na usaili, mcheza michezo ya kubashiri lazima atembelee tovuti rasmi ya 888bet. Mtu yeyote anaweza fanya hivyo kwa kubofya “888bet Tanzania” kwenye sehemu ya kutafuta mtandaoni. Muhimu zaidi, wacheza michezo ya kubashiri wanaweza kupata tovuti rasmi ya 888bet Tanzania kwa kubofya linki itakayotokea.

 2. Bofya Kitufe cha “Jiunge Sasa”

  Ukiingia kwenye tovuti rasmi ya 888bet, unaweza kuanza usahili. Unaweza fanya hivyo kwa kubofya kitufe kilichoandikwa “Jiunge Sasa”. Mcheza michezo ya kubashiri ataona kitufe hicho kwenye upande wa juu kabisa wa tovuti, upande wa kulia pindi unapoingia kwenye tovuti.

 3. Jaza fomu ya Usahili

  Ukisha bofya kitufe cha kujiunga, utapelekwa kwenye fomu ya kujiunga kwenye tovuti hiyo ya 888bet. Kwenye fomu hiyo, utaombwa kujaza maelezo. Fomu hiyo itakuomba namba ya simu ya mkononi pamoja na neno la siri unalotaka kutumia. Kumbuka pia, utaombwa kurudia kubofya neno lako la siri ili kuhakiki. Kwahiyo, unabidi ukumbuke neno la siri utakalo chagua ili kuepusha matatizo yoyote pindi unapotaka kuingia kwenye akaunti yako. 

 4. Malizia Usahili

  Kumaliza usahili wa 888bet na kuwa mwanachama wa mchezeshaji michezo ya kubashiri huyu, mcheza michezo ya kubashiri lazima akubali vigezo na masharti yake. Pia, ni muhimu kusoma na kuelewa vigezo na masharti hayo. Kushindwa kufanya hivyo kunaweza pelekea kupata shida na baadhi ya huduma kwenye tovuti hiyo.
  Pia, msahili lazima abofye “Jiunge Sasa” kukamilisha usahili wa akaunti ya 888bet na kutengeneza akaunti rasmi.

888bet Tanzania

Jinsi ya Kujisajili 888bet Kupitia Simu ya Mkononi

Kwa kuanza, mcheza michezo ya kubashiri anaweza kumaliza usahili wa 888bet kutumia simu za mkononi. Pia, njia hii ni rahisi na haihitaji muda mrefu. 888bet hupatia wateja wake tovuti iliyoundwa kwa ajili ya simu za mkononi ili kufanya mchakato uende haraka zaidi. Lakini kwa sasa, 888bet haina chagua la kupakua app mtandaoni.

Kwahiyo, wacheza michezo ya kubashiri wanaweza kufuata muongoza huu wa jinsi ya kujisajili 888bet kwa kutumia simu za mkononi;

 1. Kwanza, fungua mtandao wa intaneti kwenye simu yako kisha tafuta “888bet Tanzania’
 2. Nenda kwenye tovuti hiyo ya mchezeshaji michezo ya kubashiri kwa kubonyeza linki ya tovuti rasmi
 3. Kisha boya neno “Jiunge Sasa” ambalo litakuwa kwenye upande wa juu wa kulia pindi unapoingia kwenye tovuti rasmi
 4. Baada ya hapo, unaweza kujaza maelezo yako, ikiwemo namba ya simu ya mkononi na neno la siri unalotaka kutumia
 5. Kisha bofya kukubali vigezo na masharti halafu bofya tena “Jiunge Sasa” kumaliza usahili. Baada ya hapo utakuwa umesha tengeneza akaunti. 

Mchakato wa Uhakiki wa 888bet Tanzania ni Nini Haswa?

Mcheza michezo ya kubashiri lazima apitie mchakato wa uhakiki kabla ya kutoa pesa zake za ushindi kwa mara ya kwanza. Kufanya hivyo, lazima aende kwenye menyu ya “Mipangilio au settings” kwenye upande wa juu kabisa kulia kwenye akaunti yake.Kisha ataona chaguo la “Nyaraka au Documents”

Kwenye chaguo hili, mcheza michezo ya kubashiri anaweza kuweka picha ya kitambulisho cha utaifa, leseni ya udereva, au nyaraka ya kusafiria/pasipoti. Pia, mchezeshaji wa michezo ya kubashiri huyu anaweza kumuomba mchezaji aweke nakala ya taarifa za pesa zake benki. Mchezeshaji anaweza pia kumuomba mchezaji nakala ya bili ya vitu kama umeme au maji. Baada ya kuweka nyaraka zitakazo itajika, mchezaji ataruhusiwa kutoa pesa zake muda wowote.

Nini Kinahitajika Wakati wa Usahili wa 888bet Tanzania?

Wachezaji michezo ya kubashiri lazima wawe wanishi Tanzania kufungua akaunti.  Kwahiyo lazima wawe na namba ya simu ya mkononi ya mtandao wa Airtel au mtandao mwingine wowote unaotumika nchini.

Bila kukamilisha mahitaji haya, mchezaji atashindwa kukidhi mahitaji ya kujisajili 888bet. Pia, watashindwa kutumia baadhi ya huduma, ikiwemo kuweka pesa pamoja na kubeti kwenye mechi ya awali na mechi zinazochezwa.

Wacheza michezo ya kubashiri Tanzania lazima wawe na miaka 18 au zaidi. Pia, watumiaji wa 888bet hawawezi kufungua akaunti zaidi ya moja. Kifupi ni, ukisha jisajili 888bet hutoweza kufanya hivyo tena.

Mchezaji Anaweza Kupata Zawadi Gani za Ziada Baada Ya Kutengeneza Akaunti ya 888bet?

Shinda Bonasi ya 100% kwenye amana yako ya kwanza hadi TSh 25,000
18+. Weka multibet yenye odds 3.0 au zaidi kwenye mchezo wowote. Bashiri ikishatoa matokeo, utapokea 100% ya dau lako kama bashiri ya bure, hadi 25,000 TSh. Bashiri ya Bure ni halali kwa muda wa siku 7. Ushindi wa juu zaidi kutoka kwa bashiri ya bure ni 1,250,000 TSh. Full T&Cs

Wachezaji wapya waliosajili akaunti mpya ya 888bet wanaweza kupata zawadi ya ziada ya beti au “bonasi” wakiweka pesa kwenye akaunti kwa mara ya kwanza. 

Kwa Mujibu wa 888bet, mchezaji anaweza kushinda bonasi ya asilimia 100 (100%) kwenye amana yake ya kwanza hadi Tsh. 25,000. Ushindi wa juu zaidi ambao mchezaji anaweza kujishindia kwa bashiri ya bure ni kiasi cha Tsh. 1,250,000. 

Mchezaji anapaswa kuweka multibet yenye oddi 3.0 au zaidi kwenye mchezo wowote. Kisha bashiri ikishatoa matokeo, mchezaji atapokea 100% ya dau lake kama bashiri ya bure au “bonasi”. Kumbuka, ili kushinda bonasi hii, mchezaji anabidi awe na umri wa miaka kumi na nane (18) au zaidi, vigezo na masharti kuzingatiwa. 

888bet bonasi

Jinsi ya Kuingia Kwenye Akaunti ya 888bet

Wachezaji wakimaliza usahili wa 888bet, wanaweza kuingia kwenye akaunti zao muda wowote na kutumia huduma zote. Hapo chini utakuta maelekezo ya jinsi ya kuingia kwenye akaunti yako ya 888bet bila shida yoyote;

 1. Kwanza, fungua tovuti rasmi ya 888bet
 2. Kisha, upande wa juu kabisa wakulia, bonyeza neno “Ingia au Login”
 3. Halafu, weka namba ya simu uliotumia kwenye fomu ya usahili pamoja na neno la siri.
 4. Mwishowe, bonyeza neno “Ingia au Login” kuingia kwenye akaunti yako ya 888bet.
Jinsi ya Kuingia Kwenye Akaunti ya 888bet

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Akaunti ya 888bet Tanzania

Mchakato wa kuweka pesa kwenye akaunti ya mchezeshaji michezo ya kubashiri huyu ni rahisi na wa haraka. Mchezeshaji huyu hutoa huduma ya kuweka pesa kwenye akaunti kwa kupitia njia tofauti. Unaweza kuweka pesa kwenye akaunti kwa kupitia huduma za uhamishaji wa pesa kwa simu, kama Vodacom M-Pesa USSD, Airtel Money, Tigo Pesa na HaloPesa.

Hapo chini imeorodheshwa jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti ya 888bet;

 1. Kwanza ingia kwenye akaunti yako ya kucheza michezo ya kubashiri
 2. Kisha, nenda kwenye sehemu ya “Kuweka Pesa”
 3. Kisha, chagua namna unayotaka kuweka pesa
 4. Halafu weka maelezo utakayo ulizwa
 5. Weka kiasi cha pesa unachotaka kuweka na maliza kwa kuthibitisha

Kiwango cha chini kabisa cha fedha unachoweza kuweka kwenye akaunti ni Tsh 100 wakati kiwango cha juu kabisa cha fedha unachoweza kuweka kwenye akaunti ni Tsh 3000,000. Pia, mchakato wa kuweka pesa kwenye akaunti ni wa papo kwa hapo.

Jinsi ya Kutoa Pesa Kwenye Akaunti ya 888bet Tanzania

Wacheza michezo ya kubashiri wanaweza kutoa pesa kwenye akaunti kirahisi na haraka. Mtu anaweza kutoa pesa kwenye akaunti kwa njia ile ile aliyoweka hela kwenye akaunti. Huduma ya kutoa pesa zilizopo ni Tigo Pesa, HaloPesa, Airtel Money, na Mpesa.

Angalia maelekezo ya jinsi ya kutoa pesa hapo chini:

 1. Kwanza ingia kwenye akaunti yako
 2. Kisha, nenda kwenye sehemu ya “Kutoa Pesa au Withdraw”
 3. Kisha, weka kiasi cha fedha unachotaka kutoa
 4. Fuata maelekezo na weka majibu au maelezo ya maswali utakayoulizwa
 5. Weka kiasi cha fedha unachotaka kutoa halafu hakiki muamala ili kukamilisha utoaji wa pesa hizo

Kiwango cha chini kabisa unachoweza kutoa kwenye akaunti ni Tsh 1,000 wakati kiwango cha juu kabisa unachoweza kutoa kwenye akaunti ni Tsh 10,000,000. Njia zote za kutoa pesa ni rafiki na za kuaminika. Kwahiyo wachezaji hawapaswi kuwa na wasi wasi wakati wanatoa pesa zao.

Jinsi ya Kujisajili 888bet Tanzania Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara

Haya ni maswali yanayoulizwa mara kwa mara na wachezaji wa kiTanzania wa michezo ya kubashiri kuhusu jinsi ya kujiunga na 888bet.

❓ Unaweza Kufungua akaunti Zaidi ya Moja 888bet?

Hapana, mchezaji anaruhusiwa kufungua akaunti moja tu ya 888bet. Hizi ni sheria za Tanzania zinazofuatwa na tovuti zote za michezo ya kubashiri nchini.

❓ Je, naweza kujisajili 888bet kupitia ujumbe mfupi wa simu ya mkononi?

Unaweza kujisajili 888bet kupitia ujumbe mfupi wa simu ya mkononi. Pia, wachezaji wanaweza kutengeneza akaunti kwa kupitia tovuti rasmi ya 888bet kutumia simu ya mkononi au kompyuta ya mezani.

❓ Je, naweza kujisajili kupitia app ya 888bet?

Kwa kipindi hichi, app ya 888bet haiko hewani. Kwahiyo, wachezaji wanawezi kujisajili kupitia tovuti rasmi tu.

❓ Nawezaje kuhakiki akaunti yangu ya 888bet?

Wachezaji wakimaliza mchakato wa kujisajili 88bet, wanaweza tembelea sehemu ya “Mipangilio au Settings”. Kwenye sehemu hii, wataweka nyaraka zinazohitajika na 888bet ili kukamilisha mchakato wa hukakiki.

18+ | Please play responsibly | Terms and Conditions apply | Commercial Content