Code ya Bonasi ya Kujiunga na Betway Tanzania 2024

Betway

95/100
 • Valid bookmaker in TZ
 • Tested & Verified on 19 April 2024
 • Great welcome bonus
 • Wide range of betting markets

Ikiwa ni moja ya tovuti bora za michezo ya kubahatisha, yaani kubeti nchini Tanzania, Betway hutoa bonasi kwa wateja wake wapya wanaostahiki. Bonasi hii ni 50% ya nyongeza kwenye kiwango cha pesa kilichowekwa na mteja, na huingizwa kama dau la bure. Kwa sasa hakuna Code ya Bonasi ya Kujiunga na Betway Tanzania.   

Code ya Bonasi ya Kujiunga na Betway Tanzania ni Nini?

Kwa sasa, hakuna Code ya Bonasi ya Betway. Inapotokea Mwendeshaji anaanza kutoa hiyo bonasi, wachezaji wanaobeti wataweza kuziona kwa kubofya kwenye kiunganishi hapo juu.  

betway sign up bonus

Dai Bonasi ya Kukaribishwa Betway kwa Kutumia Bonasi ya Kujiunga 

Bonasi ya kukaribishwa Betway ni 50% ya kiasi kilichowekwa kwa mara ya kwanza na mteja mpya. Kiwango hiki cha bonasi ni hadi Sh. 10,000, na hutolewa kama dau la bure. Mteja mpya atatumia dau hilo la bure kwa kubetia. Hata hivyo, ili uweze kudai dau la bure, mteja atatakiwa kukidhi baadhi ya vigezo na masharti kama ifuatavyo:

 • Kukamilisha mchakato wa usajili kama mteja mpya.
 • Kuweka kwenye akaunti kiwango cha kwanza cha pesa.
 • Kuweka dau lenye thamani ya angalau mara tatu ya kiwango ulichoweka kwenye soko la michezo kwa odd zisizopungua 3.0. 
 • Utapata bonasi yako ya 50% ambayo itawekwa kwenye akaunti yako ya dau la bure.
 • Kidhi vigezo vingine vyote pamoja na masharti

Baada ya kupata dau la bure la Betway, hatimae utaweza kubeti kwa kutumia dau hili bure ulilopewa. Lakini kabla hujatoa kiwango utakachoshinda, utatakiwa kukidhi masharti, na hapa chini ni baadhi ya hayo masharti:

 • Dau la bure unaweza tu kulitumia kwa kubeti kwenye soko la michezo, na huwezi kuhamisha au kutoa.
 • Huwezi kutoa pesa za ushindi unaotokana na dau la bure hadi uweke jumla ya TSh. 10,000, na yote uwe umeitumia kwa kubeti.
 • Tumia dau la bure kwa mkupuo mmoja.
 • Dau la bure litaendelea kuwa na uhalali kwa  siku 180.
 • Ukitoa pesa bila kukidhi matakwa haya yote, utapoteza dau lako la bure na kiasi chochote ulichoshinda kwa kutumia dau husika.
 • Kiwango cha juu unachoweza kushinda kwa kutumia dau la bure ni TSh 50,000

Jinsi ya Kudai Code ya Bonasi ya Kujiunga na Betway Tanzania

Inapowepo Code ya Bonasi ya Kujiunga na Betway Tanzania, huwawezesha wanaobeti kujiunga nayo kwa mchezeshaji na kupokea bonasi ya kukaribishwa. Hata hivyo, mtumiaji ni lazima awe mteja mpya, awe na umri wa angalau miaka 18, na pia awe mkazi wa Tanzania.

Endapo mtumiaji anakidhi hivyo vigezo, hatua inayofuata ni kujisajili na kuweka pesa kwenye akaunti yake. Hapa chini ni hatua za kujisajili kwa mchezeshaji wa michezo ya kubashiri matokeo.

Jinsi ya kudai Code ya Bonasi ya Kujiunga na Betway Tanzania.

 1. Ingia kwenye tovuti ya Betway Tanzania.

 2. Bofya kitufe cha “Jisajili” kilichopo kona ya juu kulia mwa ukurasa mkuu wa tovuti. Aidha, chagua neno la siri ambalo sio rahisi mtu kulitabiri, kisha jaza namba yako ya simu, jina lako na barua pepe.

 3. Jaza tarehe yako ya kuzaliwa na ingiza code ya bonasi ya Betway kama inapatikana kwenye ukurasa unaofuata.

 4. Baada ya hapo, bofya kwenye kisanduku kuthibitisha una umri wa miaka 18 na kuendelea, kisha kubali vigezo na masharti ya mchezeshaji.

 5. Bofya kitufe cha “Jisajili”, na akaunti yako itakuwa imesajiliwa. Kando na kukubali vigezo na masharti ya jumla, ni lazima pia mtumiaji akubali kutii vigezo na masharti yaliyoainishwa na mchezeshaji kuhusu bonasi ya kukaribishwa. 

Jinsi ya Kudai Code ya Bonasi Betway

Sababu za Kujisajili kwa Kutumia Code ya Bonasi ya Kujiunga na Betway Tanzania

Mchezeshaji huyu hutoa vipengele kadhaa muhimu na vya kuvutia. Jedwali lifuatalo linatoa muhtasari wa faida na hasara za kubeti kupitia tovuti ya Betway Tanzania.

Soko Kubwa la Michezo 

Betway inatoa mojawapo ya masoko makubwa zaidi ya michezo miongoni mwa tovuti za kubeti nchini Tanzania. Zaidi ya matukio 1,000 ya michezo yanaangaziwa kila siku kwa mchezeshaji. Hii maana yake ni kwamba, wanaobeti watapata takribani michezo yoyote ambayo wangependa kubeti. Hii ni pamoja na matukio ya michezo maarufu kama vile kandanda, mpira wa kikapu, tenisi na raga.

Aidha, kuna michezo isiyo maarufu ingawaje pia nayo unaweza kubeti matokeo yake kama michezo mingine. Michezo hii ni kama vile soka la ndani, yaani futsal, Mapigano Mseto, (mixed martial arts), na michezo ya kuteleza kwenye milima ya barafu.

Programu ya Simu, yaani App ya Betway

Programu ya Betway huruhusu watumiaji kubeti kwa kutumia simu ya mkononi bila kutegemea vivinjari (yaani browsers) vya intaneti. Programu hii imeundwa vizuri, na kuna matoleo mawili ya kukidhi mifumo mikuu miwili ya uendeshaji, yaani Android na iOS.

Programu pia hutoa arifa (yaani notifications) za matukio ya michezo na promosheni. Hii huwezesha watumiaji kufaidika na fursa zinazotokana na bonasi zitolewazo kutegemeana na muda, na pia hukuwezesha kupanga dau lao.

Machaguo Mengine ya Bonasi

Kuna promosheni tofauti tofauti kwa ajili ya wateja. Bonasi hizi hazihitaji code ya bonasi. Bonasi kama vile odd zilizoongezwa au kuongeza Mikeka mingi ambapo mchezeshaji huongeza odds za mechi fulani.

Bonasi pekee ambayo haipatikani kwa sasa ni bonasi ya kasino kwa wateja wapya. Ni matumaini yetu mchezeshaji atatoa bonasi ya kasino kadri wanavyoboresha shughuli za uendeshaji.

Kubeti Esports

Kwenye tovuti ya Betway Tanzania, kuna sehemu maalum kwa ajili ya kubeti matokeo ya michezo ya video, yaani video games au eSports. Esports ni kipengele kichanga kwenye michezo ya kubashiri, na Betway iko mstari wa mbele kutoa fursa za kubeti kupitia michezo hiyo.

Mchezeshaji hutoa chaguzi za kubeti kupitia michezo maarufu kama vile League of Legends, Dota 2, na Counter-Strike.

Ubashiri Mubashara na Live Streaming 

Sehemu ya kubeti au kubashiri mubashara matokeo kupitia Betway inakuruhusu kuweka dau kwenye michezo baada ya michezo kuwa imeshaanza. Kubeti mubashara hutoa machaguo kwa wabashiri mahiri zaidi ambao wanaweza kufanya ubashiri bora baada ya kuona maendeleo ya mchezo kwa dakika chache.

Kipengele cha utiririshaji mubashara wa matukio (yaani live streaming), pia kina jukumu la kusaidia kufuatilia matukio ya mchezo. Hata hivyo, kipengele cha kutiririsha matukio mubashara (live streaming) kwa upande wa mchezeshaji, hakijaendelezwa kama inavyopaswa kuwa.

Machaguo ya Njia za Malipo

Mchezeshaji hutoa machaguo kadhaa ya malipo kwa wateja. Machaguo haya ya malipo hurahisisha kuweka amana ya kwanza ili kufungua bonasi ya kukaribishwa Betway. Amana ni pesa ambayo mtu anayetaka kubeti anaweka kwenye akaunti yake na kuitumia kuweka madau.

Hapa chini ni baadhi ya njia za malipo za mchezeshaji.

 • Vodacom M-Pesa
 • Tigopesa
 • Airtel Money
 • Selcom Huduma

Huduma kwa Wateja

Mchezeshaji hutoa msaada wa huduma kwa wateja kwa haraka endapo utakumbana na tatizo unapotumia tovuti au programu ya simu. Timu ya huduma kwa wateja itakusaidia ikiwa una matatizo yoyote yanayohusiana na kudai bonasi yako ya kukaribishwa Betway.

Hapa chini ni baadhi ya njia za kuwasiliana na huduma kwa wateja:

 • Barua pepe: [email protected]
 • Mitandao ya Kijamii: Facebook (@Betway-Tanzania), Twitter (@Betway_tz)
 • Kuchati moja kwa moja na mtu wa huduma kwa wateja, yaani Live chat
 • Fomu ya mawasiliano iliyopo kwenye tovuti

Kutoa Pesa

Kutoa Pesa, yaani Cashout ni kipengele muhimu sana ambacho husaidia kuboresha shughuli za kubeti kwenye jukwaa la Betway. Kipengele cha cashout husaidia kukupunguzia hasara endapo mkeka wako una mchezo mmoja au miwili ambayo haiendi kama ilivyotabiriwa.

Unaweza kuchukua asilimia ya pesa iliyopendekezwa kutolewa kwenye mkeka kabla ya mwisho wa michezo kuharibu tiketi. Ofa ya kutoa pesa, yaani cashout inategemea kiwangoi cha ushindi kilichopendekezwa awali, alama ya mchezo na muda uliosalia kwa mchezo kumalizika.

Maswali Yaulizwayo Mara kwa mara

Yafuatayo ni baadhi ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu code ya bonasi ya Betway. Iwapo una maswali yoyote ya ziada, unaweza kuwasiliana na timu ya huduma kwa wateja ya mchezeshaji.

🎁 Unapataje Dau la Bure la Betway?

Endapo lipo, unaweza kupata dau la bure la Betway kwa kujisajili kama mteja mpya kwa kutumia code ya bonasi ya Betway. Kisha itabidi uweke pesa kwenye akaunti na kuweka dau la kubeti ambalo ni mara 3 ya kiasi ulichoweka kwa angalau odd 3. Baada ya hapo, utapata 50% ya kiasi ulichoweka mara ya kwanza, na kiasi hicho kitakuwa hadi Tsh 10,000 kama dau la bure.

⭐ Jinsi ya kuona bonasi yangu ya Betway?

Kwa sasa hakuna code ya bonasi ya Betway. Itakapopatikana, unaweza kuitumia wakati wa kujisajili na kuchagua bonasi ya kukaribishwa. Bonasi hii ni 50% ya kiasi cha pesa ulizoweka kwa mara ya kwanza. Aidha, bonasi unayoweza kupata ni hadi Tsh 10,000.

💰 Jinsi ya Kuweka Pesa Betway Tanzania?

Hivi ndivyo unavyoweza kuweka pesa katika Betway Tanzania. Kwanza, tembelea tovuti ya Betway Tanzania, kisha bofya kitufe cha weka pesa kilichopo sehemu ya juu ya ukurasa mkuu. Kupitia orodha iliyowekwa kwenye ukurasa wa kuweka pesa, chagua njia ya kuweka pesa kutoka kwenye machaguo yaliyopo. Weka kiasi unachotaka kuweka kisha thibitisha muamala. Pesa ulizoweka zinapaswa kuonekana kwenye akaunti yako mara moja.

❓ Kwanini code ya kujiunga na Betway Tanzania Niliyonayo haifanyi kazi?

Inawezekana kwamba hata baada ya kuweka code ya kujiunga na Betway, bado unakuwa hupati bonasi ya kukaribishwa. Hivyo basi, hatua ya kwanza ni kuhakikisha kuwa umeingiza code sahihi. Lakini ikiwa uliweka code sahihi na bado hukupokea bonasi ingawaje umeshaweka, basi wasiliana na timu ya watoa huduma kwa wateja.

18+ | Please play responsibly | Terms and Conditions apply | Commercial Content