888bet inatoa app maalum ya simu kwa watumiaji wa vifaa aina ya Android wanaopenda kamari ya michezo. Programu ya 888bet inaweza kupakuliwa ndani ya dakika chache.
Watumiaji wanaweza kubeti kwenye michezo wanayopenda, kupata odi bora, na kufuatilia mechi zinazotarajiwa kwa hamu.
Jinsi ya Kupakua app ya 888bet
888bet ni kampuni halali ya michezo ya kamari na bahati nasibu iliyo na leseni kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania.
Wanatoa chaguzi nyingi za kamari za michezo nchini, na kwa kutumia app ya simu, haitaji kompyuta ili kufikia jukwaa lao.
Jinsi ya Kupakua app kwenye Kifaa cha Android
Kwa bahati mbaya, app ya kamari ya michezo ya 888bet kwa ajili ya vifaa vya Android haipatikani Google Play Store.
Aidha, unaweza kupakua programu hiyo kupitia moj kwa moja kupitia tovuti ya 888bet kwa kuwasiliana na huduma kwa wateja ya kampuni hiyo au kufuata hatua zifuatazo:
Huu ni mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kupata app ya 888bet kwenye kifaa chako cha Android baada ya kupakua app hiyo:
- Tembelea tovuti ya 888bet kwenye simu yako.
- Kisha bonyeza kitufe kinachosema “Download Sasa”
- Ubonyezaji wa kitufe hichi kitapelekea kupakua app hio ya 888bet katika mfumo wa Android apk.
- Kumbuka, kifaa chako cha Android kimetengenezwa kupakua app moja kwa moja kutoka Google Playstore. Hiyo, itabidi kubadili mpangilio wa kifaa chako.
- Tembelea eneo la mpangilio au “Settings” kwenye simu yako kisha kubali chaguzi la “Installation from Unknown Sources” eneo la mipangilio ya usalama ya kifaa chako.
- Baada ya hapo, app hiyo itapakuliwa kwenye simy yako na kuwa tayari kwa matumizi.Kwenye app hio, unaweza kukamilisha mchakato wa jinsi ya kujisajili 888bet na mengine mengi.
Jinsi ya Kupakua app kwenye Kifaa cha iOS
Kwa sasa, hakuna app ya 888bet kwa watumiaji wa vifaa vya iOS. Hivyo, watumiaji wa iPhone au iPad wanaweza kutumia mtandao wa 888bet kupitia tovuti yake mpaka pale kampuni hiyo itapoweza kutoa app ya iOS rasmi Apple Store.
Mahitaji ya Mfumo
Android users must have an OS 4.4 or later version to obtain the sports betting app.
Since there is no app for iOS devices, iOS users don’t have to worry about their system requirements; they can simply use the mobile website.
Watumiaji wa Android wanahitaji toleo la OS 4.4 na mbele yake kuweza kupakua na kutumia app ya 888bet kwenye vifaa vyao.Lakini, watumiaji wa vifaa vya iOS hawahitaji kuwa na mfumo wowote maalum kwavile 888bet haina app ya iOS kwa sasa. Watumiaji wa iOS wanaweza kutumia tovuti ya 888bet.
Kujisajili kwa Simu
Kusajili akaunti ya kubeti kwenye app ya kubeti ya 888bet ni rahisi na kunaweza kufanikishwa ndani ya dakika chahe. Sehemu hii itakufundisha jinsi ya kuunda akaunti yako mpya kupitia kampuni ya 888bet.
Jinsi ya Kusajili Kwenye app
- Fungua app ya 888bet
- Bonyeza kitufe cha “Join Now” ili kuanza mchakato wa usajili.
- Jaza namba yako ya simu (iliyosajiliwa na inayotumika Tanzania) na tengeneza nywila kwa ajili ya akaunti yako.
- Kama namba yako ya simu ni sahihi, utaendelea kwenye ukurasa unaofuata. Ingiza jina lako, tarehe ya kuzaliwa, anwani, na taarifa zingine muhimu kwenye fomu utakazo ulizwa.
- Ingiza kodi yako ya promo wa 888bet ili kudai bonasi ya welcome. Wachezaji wapya wanaweza kudai Bonasi ya 100% kwenye amana yao ya kwanza hadi TSh 25,000
- Kamilisha usajili wako kwa kubonyeza “Join Now”
Manufaa ya Kutumia app ya Simu
888bet ni moja ya tovuti ya kubeti na kamari ya bahati nasibu bora nchini Tanzania. Kutumia app ya 888bet huja na manufaa mengi zaidi ya tovuti ya 888bet. Hizi ni baadhi ya sababu ya kwanini wachezaji wengi hupendelea kupakua programu ya 888bet:
Unaweza kuweka dau lako katika mchezo wowote kupitia programu ya kubeti. Bila kompyuta au kompyuta mpakato, chezaji bado anaweza kubeti kutumia app ya simu.
App ya simu ya 888bet inakuruhusu kuweka na kutoa pesa kwa urahisi ili kubeti kwa mafanikio. App hiyo inanjia tofauti za malipo zinazotumika tanzania, ikiwemo huduma za Mobile Money, kuepusha usumbufu kwenye kuweka na kutoa pesa.
Unaweza kutumia akaunti yako sehemu yoyote ulipo ukipakua app ya kubeti kwenye simu yako. Cheki salio lako na fuatilia beti zote ulizoweka kwenye app ya 888bet. Unaweza pia tumia app hio kuweka dau la michezo bashiri au michezo amabayo haijaanza kuchezwa.
Moja ya faida za kupakua app ya kubeti ya 888bet ni usalama wake. App hio ina vipengele vya usalama kama uthibitishaji wa hatua tatu na ulinzi dhidi ya udanganyifu. Hivyo basi, mtu mwingine hawezi kufikia akaunti yako ya kubeti.
Hitimisho
Unaweza kupakua kwa urahisi app ya 888bet ili kuanza kutumia jukwaa la kamari ya michezo.Pia, usisahau kufurahia bonasi ya ukaribisho ya wateja wote wapya. App ya 888bet ni salama na uruhusu wachezaji kuweka beti popote kwa urahisi.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Ndio, unaweza kujivinjari na 888bet kupitia tovuti yake kwenye simu bila kupakua programu ya kubeti ya 888bet.
Ndio, wachezaji wapya wanaweza pata bonasi ya 100% kwenye amana yako ya kwanza hadi TSh 25,000
Programu ya kubeti ya 888bet inapatikana kwa ajili ya vifaa vya Android vinavyotumia mfumo wa toleo la OS 4.4 au baadae tu. Lakini watumiaji wa vifaa vya iOS hawahitaji kuwa na mfumo au toleo lolote maalumu kwasababu 888bet haina app kwaajili ya vifaa vya iOS. Watumiaji wa vifaa vya iOS wanaweza kubeti kwenye jukwaa la 888bet kupitia tovuti yake rasmi.